Showing posts with label bba. Show all posts
Showing posts with label bba. Show all posts

Thursday, October 10, 2013

FEZA KESSY MBIONI KUVISHWA PETE HUKO BOSTWANA


Wakinunua Pete

Feza Kessy na Boy friend wake Onel ambao wote walikuwa washiriki wa Big brother Africa mwaka huu walionekana wakinunua Pete za uchumba , na inasemekana Feza tayari amerudi Botswana kwa mpenzi wake huyo ...Soon tutapata chereko chereko...

Saturday, September 28, 2013

FEZA MWAKILISHI WA BBA TANZANIA AVAMIWA NA MAJAMBAZI HUKO ALIPO BOTSWANA

Fame comes at a price, and the price unfortunately is more often than not your security as people often assume if you are famous then you must have money.

Tanzania's BBA rep  Feza has had a rough week. The mother of one was robbed recently and not by your usual pick pockets, the real deal... armed robbers! The shaken star said this earlier.



I've been so down yo! Since we got robbed 2nights ago with some armed robbers,I just don't feel safe :(

Saturday, August 31, 2013

NANDO AKAMATWA BAADA YA KUIBA CAMERA MOJA YA BIG BROTHER....


Nando  ameendelea  kuitia  aibu  Tanzania  baada  ya  kukumbwa  na  kashfa  mpya  ya  wizi  wa  kamera  ndani  ya  jumba  la  big  brother.

Wizi  huo  unadaiwa  kutendeka  baada  ya  Nando  kualikwa  kushiriki  fainali  za  Big brother  ambapo Dillish aliibuka  mshindi  wa  shindano  hilo.....

Baada  ya   wizi  huo, kamera  za  jumba  hilo  zilimuumbua.Nando  alikamatwa  na  kuamriwa  airejeshe  camera  hiyo.

SOURCE: BIG BROTHER HERE!!

Monday, August 26, 2013

DILLISH KUTOKA NAMIBIA NDIYE MSHINDI WA MIL 480 ZA BBA THE CHASE



Mshindi wa Big Brother The Chase 2013, Dillish Matthews.
MWANADADA Dillish Matthews kutoka nchini Namibia amejishindia zaidi ya shilingi milioni 480 (300,000 usd) baada ya kuibuka mshindi wa Big Brother The Chase 2013.
Dillish amewabwaga washiriki wenzake wanne Beverly, Melvin, Cleo na Elikem alioingia nao tano bora. Wa kwanza kutolewa tano bora alikuwa Beverly akifuatiwa na Melvin baadaye akafuata Elikem na kuwaacha Dillish na Cleo wakichuana kutafuta mshindi wa dola 300,000 za Kimarekani. Hatimaye Cleo naye aliondolewa katika kinyang'anyiro hicho na kumuacha Mnamibia Dillish akiondoka na kitita cha zaidi ya milioni 480 na kuwa mshindi wa Big Brother Season 8 The Chase 2013.

Tuesday, August 20, 2013

ANGALIA PICHA ZA FEZA KESSY AWASILI BOTSWANA NA KUPOKELEWA NA UMATI MKUBWA WA WATU








Sunday, August 18, 2013

FEZA AFUNGUKA: NAPENDA MWANAUME MWENYE UPEO, ALIYEPEVUKA

Feza Kessy akifanya mahojiano katika kipindi cha Hatua Tatu cha 100.5 Times FM.


Mtanzania aliyekuwa anaiwakilisha Tanzania katika mjengo wa Big Brother Season 8 'The Chase', Feza Kessy na kuondolewa, hivi karibuni alifanya mahojiano katika kipindi cha Hatua Tatu cha 100.5 Times FM. Katika kipindi hicho, yafuatayo ni baadhi aliyoyaelezea:
-Maisha ya mjengoni
-Alivyojisikia baada ya Mtanzania mwenzake Nando kuondolewa
-Asema alijua kuwa atatolewa mjengoni
-Kuhusu mapenzi mjengoni
-Mwanaume gani anapenda kuwa naye
-Adai kabla ya kwenda BBA 'The Chase' hakuwa na mpenzi
-Aelezea umri wake kuwa ni miaka 25
-Aeleza faida za BBA kwa Tanzania
-Malengo yake baada ya kutolewa BBA

Friday, August 16, 2013

Feza Kessy Aongea na vyombo vya habari Baada ya kurejea Nchini

DSC_1047
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewashukuru wateja wote DStv na Watanzania walioshiriki katika kumpigia kura mshiriki aliyeiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Big Brother The Chase Season 8 Feza Kessy ambaye alibakiza siku chache tu kuweza kufuzu 14 mpaka kumalizika kwa shindano hilo. Barbara Kambogi ameowaomba wateja wa DStv waendelea na Watanzania kwa ujumla isiwe mwisho wa kutazama mchezo huo kwa sababu mshiriki wa Tanzania. Katikati ni Mshiriki wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother The Chase Feza Kessy na Kulia ni Mwakilishi wa kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania ambao ndio wadhamini  wakuu wa shindano hilo.

Wednesday, August 14, 2013

PICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR


Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es Salaam.

Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.


 Rafiki wa karibu sana na Feza anayejulikana kwa jina la Vanessa Mdee nae alikuwepo kumpokea rafiki yake.



FEZA NA ONEAL KATIKA MAPENZI MOTOMOTO BAADA YA KUTOKA BBA

Feza na Oneal baada ya kutoka

Sunday, August 11, 2013

FEZA ATOLEWA BIG BROTHER..!!


HABARI TANZANIA ......MPAKA SASA HIVI HAKUNA MTANZANIA ALIYE BAKI KATIKA SHINDANO LA BBA BAADA YA FEZA KUTOLEWA KATIKA JUMBA HILO  DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA NA NDO ALIKUWA MTANZANIA WA MWISHO ALIYEKUWA AMEBAKI

Sunday, August 4, 2013

FEZA AENDELEA KUPETA NDANI YA BIG BROTHER MPENZI WAKE ATOLEWA




Hatimaye Mshiriki wetu aliyebakia ndani ya jumba la Big Brother Feza amefanikiwa kubaki ndani ya jumba hilo baada ya kuwekwa kwenye kikaango cha kutolewa leo....Badala yake ametolewa mpenzi wake Oneal...kitendo ambacho waafrica wengi wamekifurahia kwasababu alikuwa anamfanya FEZA kutokuwa yeye ...Alimcontrol sana FEZA so tunategemea kumuona FEZA yule wa zamani,,

Saturday, August 3, 2013

FEZA KESSY AJIKATIA TAMAA...KURA YAKO INAHITAJIKA ILI ASITOLEWE BIG BROTHER KESHO



Feza Kessy ameonesha kukataa tamaa na uwezekano wa kupona panga la kesho kwenye eviction ya Big Brother Africa.

Wakati akifua nguo zake bafuni, mrembo huyo alipewa kampani na Beverly na Elikem na kuwaambia kuwa haoni dalili kama ataukwepa msumeno wa kesho.



Hakika, kama nitapona eviction ya Jumapili hii itakuwa ni miujiza tu,” alisema Feza.


“Ni ngumu kwa wapenzi kwenye nyumba hii. Angalia kilichotokea kwa LK4 na Koketso. Wote walitolewa usiki mmoja. Nadhani kitu kile kile kinaenda kutokea kwetu.”
 

Unahisi Feza anaweza kupona?, Toa  maoni  yako

VIDEO:WASHIRIKI WENGINE BIG BROTHER WAFANYA MAPENZI LIVE MBELE YA KAMERA

The action went down tonight, around 11pm. I saw this one live no be say hear say. (Took the photos above with my phone). Angelo took her from behind under the sheets (first pic above). They were grinding like mad and you could their loud moaning. Choi! Beverly ooo.

They also got hot and heavy last night in the bathtub. Not sure if it's sex though. Video and pics after the cut.. (18 and above biko)




Wednesday, July 31, 2013

"SIJUTII KUTIMULIWA BIG BROTHER, NAAMINI HAIKUWA RIZIKI YANGU"...NANDO

Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Ammy Nando amesema hana majuto yoyote  baada ya kuondolewa kwenye shindano hilo.

Nando ambaye aliondolewa wiki iliyopita kwa kuvunja  sheria za shindano hilo ,  leo amefunguka  kwa  mara  ya  kwanza ndani  ya  kipindi cha XXL cha Clouds FM.

“I live my life with no regrets,”alisema Nando  na  kuongeza:

“Sitaki kufikiria  matatizo wala nini, kilichotokea ndio kimetokea...

"Najipanga upya ili  niendelee na maisha mengine. Vingapi vizuri  vimetokea nyuma ? 

"Tokea  nilipokuwa mtoto mdogo nani alikuwa ananijua? Sasa hivi nipo peace , nashukuru kwamba mmenipokea vizuri. 

"Naendelea na maisha, uzuri nimepata platform ya kutengezeza jina langu, kwahiyo naenda hivyo hivyo mpaka huko ntakapofika.”


Tuesday, July 30, 2013

FEZA AONGOZA KUCHUKIWA NA WENZAKE NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

































Habari mbaya kwa Tanzania, Feza Kessy ni miongoni mwa washiriki watatu waliopigiwa kura zaidi kutoka wiki hii...FEZA amepata kura nyingi zaidi hii inaonyesha kuwa ndio mshiriki anayechukiwa zaidi ndani ya jumba hilo...
Feza ameungana na mpenzi wake Oneal na Elikem kwenye kikaango hicho cha eviction. Wa kwanza kumtaja Feza kwa kudai kuwa ni mbeya na jinsi anavyopenda kuwakusanya washiriki wenzake na kuwashawishi mi Msouth, Angelo.

Beverly wa Nigeria pia amemtaja Feza kwa madai kuwa ana upinzani mkali kwenye shindano hilo.

Elikem amewataja Oneal na Feza huku Cleo wa Zambia akimtaja Feza kwa madai kuwa ni tishio kubwa kwake na kusema wazi kuwa hataki kumuona Feza anaondoka na dola laki tatu.

Haya sasa muda wa kuanza kumpigia kura Feza Kessy asitoke ndio huu.

Monday, July 29, 2013

PICHA NA VIDEO JINSI NANDO ALIVYOTOLEWA NADNI YA JUMBA LA BIG BROTHER...!!

 5
Channel 197 & 198 za DSTV zimeendelea kutoa huduma ya kutazama bure washiriki wa Afrika wanaozifukuzia dola laki moja za shindano la Big Brother Afrika 2013 The Chase ambapo Tanzania ilikua ikiwakilishwa na Nando pamoja na Feza Kessy.


Saa tano usiku wa July 28 2013 zikiwa zimepita dakika kadhaa tangu Annabel wa Kenya na Sulu wa Zambia kutolewa kwenye eviction ya kawaida kila jumapili, Nando amekua Mtanzania wa kwanza kutolewa kwenye jumba la BBA Johannesburg South Africa 2013 baada ya ugomvi wake na mshiriki Elikem wa Ghana.


Ni ugomvi ambao ulitokea Ijumaa kwa wawili hao kutukanana matusi mpaka yaliyowajumlishia na wazazi ndani yake ambapo Nando alivuka mipaka ya sheria za BBA hivyo kuitwa kwenye Diary Room na kuonyeshwa video ya kilichotokea na dakika kadhaa baadae akatolewa BBA akiwa hapohapo Diary Room, hakuruhusiwa kurudi kuwaaga washiriki wenzake.


Hizi picha na video ambayo iko chini kabisa ni mfululizo wa matukio mbalimbali muda mfupi tu baada ya Nando kutolewa BBA.


1


Bimp wa Ethiopia alikua mshkaji sana wa Nando, hapa alikua na huzuni baada ya Nando kutolewa.2 

Hii picha hapa juu ni wakati Nando yuko Diary Room akionyeshwa video ya wakati wa ugomvi wake na Elikem na matusi aliyokua akiyaporomosha.


Hasira za Nando zilipitiliza mpaka kudiriki kusema mtu kama Elikem anastahili kufa ambapo pia baadae Nando alikutwa akiwa amelala na mkasi chini ya kitanda chake ikiwa sio mara ya kwanza kukutwa na silaha ndani ya BBA house, jamaa amekua na wiki 9 za historia kwenye The Chase.


Mwezi uliopita Nando alipewa onyo na Biggie baada ya kuvunja sheria kwa kuonekana akiwa na kisu kwenye party ya Channel O.4


3


6


Feza na ‘shemeji’ muda mfupi tu baada ya Nando kutolewa.7


8


9 

Baada ya Nando kutolewa Feza alinyanyuka na kwenda kukaa na Bimp wa Ethiopia, mshkaji wa Nando ambae alionekana kuwa na huzuni.




11 

Hii sio mara ya kwanza kwa Mtanzania kutolewa BBA kwa kuvunja sheria, mwaka 2011 Lotus alitolewa baada ya ugomvi wake na Luclay kuvuka mipaka na kupelekea Mtangazaji huyu kuvunja sheria za BBA.

Sunday, July 28, 2013

MSHIRIKI WA TANZANIA (NANDO ) ATIMULIWA BIG BROTHER BAADA YA KUGOMBANA NA MSHIRIKI MWENZAKE


Nando  ametimuliwa  katika  shindano  la  big  brother  baada  ya  kugombana  na  mshiriki  mwenzake  Elikem wa Ghana  siku  ya  ijuumaa  ya  tarehe 26/7/2013...

Hii  ni  ripoti  ya  DSTV ikisimulia  sakata  hilo.

-----
After tonight's Evictions that saw Annabel and Sulu being given the boot, Big Brother then gathered all of the Housemates in the living room.
 


Today Big Brother reproached Nando for the fight that he had with Elikem on Friday. The heated face-off with Elikem saw the two fellas exchanging fiery words between them. Nando is the one that instigated the fight. Instigation and provocation is a violation of the Big Brother rules.
 


"Any Housemate who becomes physically violent will be removed from the House immediately. Violence can refer to self-inflicted violence, or violence towards another. Violence includes provocation, goading, bullying and victimisation," said Biggie. 
 

This season Big Brother has imposed a Three Strike Rulu, which will be applicable to Housemates who commit serious infringements.

 For this fight Nando received his second Strike and Elikem was has served with his first Strike. Afterwards the Tanzanian was called into the Diary Room. He was given his third Strike for making threats against Elikem's life, saying: "I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die". 
 

And he was also caught sleeping with scissors under his bed and this is not the first time that he has been caught with a weapon in the House. The troubled young fellow has had a dramatic nine weeks in The Chase. 


 Last month he was served with a a Strike and a stern warning from Big Brother after he was found carrying a knife to the Channel O Party. The possession of weapons or intention to be violent in the House is another violation of the Big Brother rules. 
 

After the Diary session Nando was told to immediately exit the House. Big Brother then gave a warning to the Housemates to conduct themselves as adults.


Friday, July 26, 2013

picha:: mtazame pokello akiwepo kwao baada ya kutolewa BBA..

Wednesday, July 24, 2013

FEZA AMESEMA ' TUTAENDELEZA MAHUSIANO YETU HATA NJE YA BBA'

foolforlovebig_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_131323191318196
Kama ulikuwa unahisi kuwa uhusiano wa Feza na Oneal unaishiwa fleva, basi hauko sahihi. Wandani hawa wameendelea kuiimarisha ngome yao ya mahaba ili kamwe isije kushambuliwa na wameendelea kupanga mipango ya kuliendeleza penzi lao baada ya The Chase.“We’re getting more serious,” Feza alimwambia Big Brother. “Kukutana na Oneal kwenye nyumba hii kumeonesha upande wangu ambao sikudhani watu wangeuona, alisema Feza. Upande wa ulaini na udhaifu wangu. Marafiki zangu nyumbani wanasema nimekuwa rahisi sana na napotea. Mtu mmoja anahitaji kwa kiasi fulani kuwa mjinga kwenye uhusiano.
Ni ngumu sana pia, sababu wakati mwingine nataka kuwa mkali na siwezi sababu uhusiano huu si tu unanihusu mimi. Unanihusu mimi Oneal na Africa.


Feza alimwambia Biggie kuwa yeye na mpenzi wake huyo raia wa Botswana wana hamu kubwa siku wanaondoka mjengoni humo kwenda kuundeleza zaidi uhusiano wao

Saturday, July 20, 2013

BBA: MSHIRIKI WA TANZANIA ( NANDO) HUENDA AKASHITAKIWA KWA KOSA LA KUMDHALILISHA MSHIRIKI WA KIKE TOKA GHANA


Mshiriki wa pekee katika Jumba la BBA The Chase , Selly kutoka nchini Ghana, amesema ya kwamba yupo mbioni kumfungulia mashtaka mshiriki kutoka nchini Tanzania Nando kwa kitendo cha kumdhalilisha na kumsingizia amemuambukiza Ugonjwa wa Zinaa.

Baada ya kutolewa katika jumba hilo wiki iliyopita, Selly ameshauriwa na mama yake na tayari wamewasiliana na Waandaji wa Shindano hilo. " Nimepima  sijakutwa na maambukizi ya aina yoyote ya Magonjwa ya Zinaa wala sina historia hiyo" Alisema Selly.

" Mimi na Nando hatukufanya Mapenzi zaidi ya kucheza tu Kitandani, nashangaa hata kwa kiasi gani mambo yamekuwa hivi" Aliongeza Mrembo huyo