Showing posts with label michezo. Show all posts
Showing posts with label michezo. Show all posts

Saturday, September 20, 2014

Photos: Mario Balotelli arrives to Liverpool training in £240k Ferrari

Mario Balotelli drove to Liverpool training on Thursday in his £240,000 (about N65million) Ferrari F12 Berlinetta which he shipped from Italy last week. The 24 year old footballer moved from AC Milan to Liverpool in a £16million switch last month. See the super car after the cut...


Balotelli also has a £160,000 camouflage Bentley GT

Friday, August 29, 2014

CRISTIANO RONALDO AUKWAA MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa.
Cristiano Ronaldo akifurahia.
Wachezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer (kushoto) na winga Mholanzi Arjen Robben (kulia) pamoja na Ronaldo (katikati) akifurahia baada ya kushinda tuzo hiyo

OKWI ARUDI RASMI SIMBA SC



Emmanuel Okwi akitambulishwa kwa wanahabari na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope.
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope, jana jioni alimtambulisha rasmi Emmanuel Okwi kuwa mchezaji wao mpya.

Okwi ametua Simba akitokea kwa watani wao wa jadi, Yanga kutokana na makubaliano maalum baada ya kufunguliwa kesi kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) na Yanga kwa madai ya kuchangia kuwakosesha ubingwa wa Ligi Kuu Bara, msimu uliopita.

Emmanuel Okwi akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
Okwi alitambulishwa na Hans Pope katika Ukumbi wa Ze Silver Pipe, Kawe jijini Dar es Salaam.

Saturday, July 19, 2014

Cristiano Ronaldo’s mother claims she tried to 'abort' the footballer

Inside her recently released autobiography Mãe Coragem (which translates to ‘Mother Courage’) , mother of Critiano Ronaldo, Dolores Aveiro, claimed that she attempted to abort him when she was pregnant by 'drinking warm beer' and 'running until she dropped'

Although she did not give any reason for wanting to abort her unborn child, Dolores said she had approached her doctor to carry out the abortion but he didn't agree with it and refused to do it. She then resorted to doing it herself by drinking warm beer and running with the hope that she would lose the pregnancy. 

"I wanted to abort but the doctor didn’t support my decision,” she wrote in her autobiography.
Speaking at the launch of the autobiography in Lisbon yesterday, Dolores said that Ronaldo already knew about his past and even joked about it. "“He told me when he found out, 'Look mum, you wanted to abort me and now I'm the one who’s pulling the purse-strings in the house,'” she said..


 Dolores (second from right) at her book launch yesterday... 

Wednesday, July 16, 2014

PICHA:KINARA WA GERMAN MARIO GOTZE AKILA BATA NA MWEZA WAKE KABLA YA KUTWAA KOMBE LA DUNIA JUZI...

Not that many people knew who he was when these photos were taken two years ago, but last Sunday he scored the triumphant goal that helped Germany win the 2014 World Cup, and now that everybody knows his name, the photos have resurfaced. The photos show German footballer Mario Götze and his model girlfriend, Ann-Kathrin Brömmel on a romantic holiday in Ibiza back in July 2012.

While relaxing on a yacht, Super Mario seemed so excited to be with his hot model girlfriend, that his junk refused to relax/stay down...lol. His giant bulge was on display for several minutes..and what a sight! Hehe. Best part is the two are still together. Continue to see Mario in all his glory....



 Same girl two years later with him at the world cup final on Sunday

 With Rihann

Tuesday, July 15, 2014

MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA RAIA WA BRAZIL ATUA DAR

JAJA AKIWA NA KIZUGUTO NA BHINDA BAADA YA KUTUA JNIA.

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Geilson Santos Santana 'Jaja' raia wa Brazil tayari ametua nchini kwa ajili ya kujiunga na Yanga.

Jaja anatarajia kumalizia mazungumzo na kesho atasaini mkataba na Yanga.
Mshambuliaji huyo ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kupokelewa na Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto

MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA RAIA WA BRAZIL ATUA DAR

JAJA AKIWA NA KIZUGUTO NA BHINDA BAADA YA KUTUA JNIA.

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Geilson Santos Santana 'Jaja' raia wa Brazil tayari ametua nchini kwa ajili ya kujiunga na Yanga.

Jaja anatarajia kumalizia mazungumzo na kesho atasaini mkataba na Yanga.
Mshambuliaji huyo ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kupokelewa na Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto

TAZAMA PICHA 10 JINSI UJERUMANI WALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE NA MAELFU YA WATU BAADA YA KUWASILI NCHINI KWAO






Tuesday, July 8, 2014

VIDEO:HUYU NDIYE NESI ALIYEFUKUZWA KAZI BAADA YA KUCHUKUA VIDEO INAYOMUONYESHA KIUNGO WA BRAZIL NEYMAR AKIWA WODIN

The nurse who filmed Brazilian striker Neyma being wheeled around on a hospital trolley has been fired, according to an article on Brazilan football site UOL.

The nurse has been criticized for not only recording the football star in that state but also for blowing kisses to the camera afterwards and laughing. She then posted the video to her Facebook page. Personally, I don’t see how this is a big deal but the hospital management released a statement saying the nurse, named Chintia, has been fired. See Video here: 


Saturday, July 5, 2014

GIGGS AMETUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA SAYANSI

Aliyekuwa mchezaji na Kocha Msaidizi wa Manchester United, Ryan Giggs ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Sayansi kutoka Chuo Kikuu cha Bolton, England kutokana na mchango wake mkubwa katika mchezo wa soka. Giggs kwa sasa atajulikana kama Dk.Giggs kutokana na heshima hiyo kubwa aliyoipata.
 


Sunday, December 15, 2013

HIVI NDIVYO AFTER SKUL BASH ILIVYOFUNIKA MBAYAAA NDANI YA MBALAMWEZI BEACH.....


 Mashabiki kibao wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri jukwaani jioni ya leo. 




 Baadhi ya wasanii chipukizi kutoka anga ya muziki wa Bongofleva pia walipewa nafasi ya kuonesha umahiri wao wa kulishambulia jukwaa vilivyo.




 Watangazaji wa Clouds FM,Adam Mchomvu na Dj Fetty wakijadiliana jambo nyuma ya jukwaa.









 Mashabiki wakifurahi burudani iliyokuwa ikitolewa juu ya steji




 DJ Mahiri kutoka Clouds FM akifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Mbalamwezi Beach,wakati wa tamasha la After Skull Bash likiendelea,Tamasha hilo limewakutanisha wanafunzi wa shule mbalimbali jioni ya leo.




 Msanii Nguli wa muziki wa kizazi kipya,Chege Chigunda a.k.a Mtoto wa Mama Said akitumbuiza mbele ya mashabiki kibao waliofika kwenye tamasha la After Skull Bash,lililofanyika kwenye ufukwe wa Mbalamwezi,Mikocheni jijini Dar. 




 Mmoja wa watangazaji mahiri wa Clouds FM,Hamis Mandi a.k.a B Dozen akitoa utaratibu mzima wa tamasha hilo utakavyofanyika.Tamasha hilo limeratibiwa na Clouds FM kwa kushirikiana na kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd.




 Msanii wa muziki wa Kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga ya muziki wa bongofleva,Rich Mavoko akikamua vilivyo jioni ya leo kwenye tamasha la After Skull Bash,lililofanyika kwenye ufukwe wa Mbalamwezi,Mikocheni jijini Dar.




Mashabiki waliofika kwenye tamasha hilo wakifuatilia kwa makini