Showing posts with label ukweli. Show all posts
Showing posts with label ukweli. Show all posts

Saturday, July 13, 2013

ANGALIA KAMERA ZA SIRI ZILIVYOFICHUA UCHAFU WA HOUSE GIRL KWA MTOTO


Upo uwezekano mkubwa wa haya mambo kutokea kwenye familia nyingi hasa za Kiafrika ambazo desturi yetu ni kuajiri wasichana wa kazi kabisa.
Hii video hapa chini ni ripoti ya kusikitisha ambayo ilitolewa nchini Kenya baada ya Kamera kutegeshwa kwa siri ili kuona Wasichana wa kazi huwa wanafanya nini wakiwa wamebaki wenyewe nyumbani? ANGALIA VIDEO HAPA:

Monday, July 8, 2013

TAHADHARI: MAFUTA YA UBUYU YANA TINDIKALI INAYOSABABISHA SARATANI...!!


Baada ya kuonya wananchi wanaotumia dawa za tiba mbadala ambazo hazijathibitishwa, Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), sasa inawataka wananchi kuacha kutumia mafuta ya ubuyu kwa kunywa kama dawa.

Akizungumza juzi katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwanza, alisema Mamlaka hiyo ilipima na kubaini mafuta hayo yana tindikali ya mafuta.

Alifafanua katika maonesho hayo maarufu kama Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, kwamba mafuta hayo hayafai kuliwa na binadamu na anayekunywa kwa wingi, yuko hatarini kupata saratani za aina tofauti tofauti.


"Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wajasiriamali wanaouza mafuta ya ubuyu kama dawa, kwa kuwaelekeza wananchi kunywa. Napenda kuwataarifu kuwa mafuta hayo ni hatari kwani yana tindikali ya mafuta," alisema.

Mwandishi alipata sampuli ya vielelezo vya matumizi yake na manufaa yake mwilini, kama inayotangazwa na wajasiriamali katika maeneo mbalimbali na hata katika mitandao.

"Ni mafuta yatokanayo na mbegu za ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana Vitamin A, B, C, D na F. Pia yanatibu magonjwa mbalimbali," kielelezo kimoja kilinadi ubora wake katika mitandao ya jamii.

Mafuta hayo yamedaiwa kutengeneza seli zote ndani ya mwili, kuzuia ngozi isiharibike wala kupata makunyanzi, kuondoa mafuta  ndani ya mishipa ya damu na yanapunguza uzito uliozidi.

Pia inadaiwa yanarutubisha ini na figo, yanaleta hamu ya kula, yanaimarisha mifupa, kucha na nywele, yanaongeza kinga ya mwili (CD4), yanaondoa sumu na yanatengeneza sukari iwe katika kiwango kinachotakiwa.

Maelezo hayo yameendelea kusifu kwamba yanasaidia kuona vizuri na kujenga kumbukumbu, yanapunguza vitambi na matumbo makubwa, yana virutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.


Katika ngozi yametajwa kuondoa madoa, chunusi, fangasi, upele, mba na muwasho, yanafaa kwa walemavu wa ngozi (albino). Pia huondoa hamu ya kutumia dawa za kulevya na kuponyesha vidonda vya tumbo.

"Endelea kutumia mafuta bora ya ubuyu, ni bidhaa asilia ya kitanzania. Ni mafuta yasiyochanganywa na kitu chochote, ni mafuta asilia,"  yamesifiwa katika maelezo hayo.

Mtumiaji ameelezwa kama ana ugonjwa wa kisukari, atumie kijiko cha chakula kimoja tu. Anatakiwa kutumia dozi hiyo ya kwanza nusu saa kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 15.

Dozi ya pili na ya tatu kwa wagonjwa hao, inatakiwa kufuata baada ya siku 15 kisha mgonjwa apumzike wiki moja, huku akiendelea kupima kila wiki. Kipimo hapo ni cha hospitali.

Kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo, figo na ini, wameelekezwa na wajasiriamali hao kunywa kijiko cha chakula kimoja asubuhi kabla ya kula chochote, na usiku kijiko cha chakula kimoja kabla hajala chochote kwa muda wa siku 15 kwa dozi ya kwanza.

Baada ya hapo, mgonjwa anapumzika wiki moja kisha siku 15 zinazofuata dozi ya pili, mapumziko wiki moja halafu siku 15 nyingine dozi ya tatu.

Maelezo ya dozi hiyo ya kutibu ugonjwa wa vidonda vya tumbo, yanaendelea kumtaka mgonjwa baada ya dozi ya tatu, aanze kunywa kila wiki mara moja kijiko cha chakula kimoja asubuhi, tena nusu saa kabla hajala chochote kwa muda wa wiki nne.

Dozi inaendelea ambapo mgonjwa atatakiwa kunywa kijiko kimoja cha chakula kila mwezi mara moja asubuhi, kabla hajala chochote kwa muda wa wiki nne, kisha kunywa kila mwezi mara moja, asubihi kabla hajala chochote kwa muda wa miezi sita mfululizo.

Kwa utoaji wa sumu, mgonjwa ametakiwa kunywa kijiko cha chakula kimoja asubuhi kila siku kwa muda wa siku 14, kisha kunywa kila mwezi mara moja kwa muda wa miezi sita mfululizo.

Kwa kuongeza CD4 mwilini, ametakiwa kupata kijiko cha chakula kimoja asubuhi nusu saa kabla ya kula chochote, na usiku kijiko cha chakula kimoja nusu saa kabla ya kula chakula cha usiku kwa muda wa miezi mitatu.


"Mgonjwa aanze kunywa baada ya kipimo cha mwisho (cha CD4) alichopima. Mafuta yanapatikana kuanzia ujazo wa lita moja na zaidi," imesifiwa dawa hiyo.

TFDA imeonya kuibuka kwa tabia ya wananchi kutaka matibabu ya haraka, kama ilivyo kwa baadhi ya watu kutaka utajiri wa haraka, na imehadharisha ni vema kabla ya kutumia dawa zinazoibuka kila siku, waulize kama zina ubora kwa afya zao.

"Nawasihi wananchi kuacha kukimbilia dawa ngeni mara tu baada ya kutangazwa kama haya Mafuta ya Ubuyu, yamekuwa yakielezwa ni dawa na wajasiriamali tu, na wengi wamekuwa wakitumia bila kusikiliza mamlaka husika zinasemaje," alisisitiza.

Semwanza alisema Mamlaka hiyo iko katika mkakati wa kuanza kuelimisha jamii kuhusu matumizi ya mafuta hayo, ambayo wengi wanayaamini na kuyanywa kama dawa.

Kwa mujibu wa Semwanza, baada ya kupima mafuta hayo na kubaini hatari hiyo, waligundua pia inawezekana tindikali hiyo kutenganishwa na mafuta hayo, lakini imebainika utaalamu na teknolojia hiyo haipo nchini.

Hata hivyo, alisema Mamlaka hiyo haijabaini madhara ya matumizi mengine ya mafuta hayo kama kipodozi.

Kutokana na mvuto huo wa kibiashara, na shauku ya kupona haraka ya wananchi, Semwanza alisema TFDA imekuwa ikifanya msako wa dawa mbalimbali zinaouzwa na wajasiriamali katika maonesho hayo.

Alisema kuwa kuna baadhi ya waandaaji wanaowaalika wajasiriamali bila kufuata kanuni na sheria za kuingiza dawa hizo katika maonesho.


Kwa mujibu wa Semwanza, wanakagua dawa na kama wakikuta hazijathibitishwa na TFDA na mamlaka nyingine, wanamuamuru mjasiriamali kuacha kuzitangaza mpaka apate kibali na kuwaasa wanaowaleta wajasiriamali katika maonesho hayo ya kimataifa kuhakikisha wanafuata vigezo.

Wiki iliyopita TFDA, ilionya wananchi dhidi ya matumizi ya dawa za tiba mbadala, zikiwamo zinazokuza maumbile, ambazo bado hazijasajiliwa na Mamlaka hiyo baada ya kuchunguza usalama, ubora na ufanisi wa dawa hizo.

Mamlaka hiyo  ilieleza kuwa, ilitoa nafasi ya watoa tiba mbadala kwenda kusajili dawa zao, lakini mwitiko umekuwa hafifu.

TDFA yenye dhamana ya kusimamia ubora na usalama wa bidhaa za vyakula na dawa, ikiwa ni pamoja na dawa za mitishamba, vipodozi na vifaa tiba vinavyouzwa katika soko la Tanzania, imeeleza kuwa watoa huduma wa tiba mbadala, wengi hawako tayari kubainisha aina ya mchanganyiko wa dawa hizo jambo ambalo ni hatari kwa walaji.


Wednesday, July 3, 2013

KABBALAH 1: IJUE LUGHA HATARI NA YA KALE ILIYOTUMIKA KUIBADILISHA ULIMWENGU.

 YOTE YANAYOHUSU KABBALAH  1:



ANGALIZO: ELIMU YA KUIFAHAMU KABBALAH NI HATARI HASA ZAIDI KATIKA ULIMWENGU SASA WA KILA MTU KUSHIKA IMANI YAKE YA DHATI KAMA VILE UISLAMU, UKRISTO N.K, KWANI MAFUNDISHO YA  KABBALLAH YANAHIMIZA KUWA  HAKUNA NJIA PEKEE YAKUWEZA KUFIKA ULIMWENGU WA HALI YA JUU WA MAFANIKIO(UPPER WORLD) BILA KUIJUA KABBALAH.NAYO INAITWA NJIA YA KABBALAH(THE PATH OF KABBALAH) AMBAYO PIA NI NJIA YA MAAUMIVU.LENGO LETU SIO WEWE KUIJUA KABBALAH ILA NI KUFAHAMU SIRI ILIYONYUMA YA KABBALAH,NARUDIA TENA NI HATARI.
    "UKIACHIA MBALI KABBALAH MAMBO YOTE NA NJIA ZOTE ZILIWEZA KUENDELEZWA NA BINADAMU.KWA KIPINDI KIREFU SANA UBINADAMU(HUMANITY) UMEJARIBU KUTAFUTA NJIA YA KUPATA UKWELI KUHUSU SUALA ZIMA LA IMANI, WAMEJITAHIDI KUTUMIA NJIA KAMA VILE FALSAFA, NA NJIA NYINGINE TOFAUTI ZINAZOAMBATANA NA IMANI TOFAUTI, LAKINI MWISHOWE UBINADAMU UMESHINDWA KUJUA UKWELI KUHUSU KITU KINACHOITWA IMANI". HAKUNA NJIA YOYOTE ISIPOKUWA SAYANSI YA KABBALAH AMBAYO INASEMA HIVI." Kama unaibadilisha nafsi yako kwa njia fulani, ni dhahiri kabisa utaujua ukweli ipasavyo, na kama utabadilisha nafsi yako kwa njia tofauti basi utaweza kuushawishi ukweli tofauti".kabballah inafungua anga mpya kabla ya ubinadamu huku ikionyesha ni jinsi gani inavyoweza kuathiri ukweli wa mawazo yetu na matamanio yetu pia,na jinsi gani yakuunganisha , na kuyabadilisha hayo mawazo na matamanio. kwa habari zaidi tembelea
http://www.ummah.com/forum/showthread.php?90065-Kabbalah-is-dangerous-Read-this
UTANGULIZI
Kabbalahni muunganiko wa maandishi ya kimiujiza ya kiyahudi (jewish magical text) ambayo hutumiwa kuwaunganisha kati ya binadamu (mankinds) na  mmoja miongoni wa malaika walioshuka na ibilisi( fallen angels) ambaye anaitwa Raziel HaMalaach (The Angel Raziel). raziel anatambulika kama miongoni mwa fallen angels amabao kazi yake ----->



 ni kumtumikia "muwezeshaji wa mwanga (LUCIFER)".ndani ya kabbalah utakuta wanazungumziwa malaika wengi (ANGELS) pamoja na mashetani (DEMONS).kabbalah huwapa kabbalist njia ya kujua mambo mengi kupitia MTI WA MAISHA( TREE OF LIFE).---->


   
 

      TAFSIRI TOFAUTI YA MTI WA MAISHA (TREE OF LIFE )


ambayo huwawezesha kuzungumza na mashetani/majini wa hali ya juu (powerfull sprit)






kupata taarifa tofauti kuhusu hayo miujiza  ndani ya kabbalah asili yake ni kile kipindi cha babeli (babylon) na wamisri wa kale(ANCIENT EGYPT) wakati wa farao.kopi ya kabbalah haikuweza kufika uingereza( EUROPE) hadi kufikia karne ya 11 na ya 12. kitabu hichi cha siri cha kabbalah kinajumuisha maneno zaidi ya alfu ya moja ambayo hujumuisha complex spherical description, atomic nature of matter


i, ambayo hizo zikawepelekea miongoni mwa wanasayansi  kama vile EINSTEN, na wanajimu tofauti kufahamu nature ya ATOM, kitu cha kufahamu  ni kuwa kabbalah imeandikwa katika mfumo wa kuficha maana halisi ya neno (CODES). mfumo CODES ulitumika na Alchemist hasa zaidi katika mawasiliano ya siri.SIR ISAAC NEWTON pamoja na wanasayansi wengine waliweza kuisoma hiyo sayansi katika kabballah amabyo ipo katika mfumo wa codes--->


                             SIR ISAAC NEWTON

  mwanasayansi wa kiyahudi ALBERT EINSTEN
 
 
                                 ALBERT EINSTEIN
aliweza kufanikiwa kupitia kurasa hadi kurasa ambazo zinahusu complex calculation na mwishowe akafanikiwa kupata simplest code ambayo ni



- siri kubwa iliyokuwepo ndani ya kabbalah ni ule uwezo wa kuua mtu kwa kumtazama tu.ambayo huitwa the :"THE EVIL EYE"


                     THE EVIL EYE
ambayo jinalake la kimazingara linaitwa "ENHARA" . mpaka hivi sasa kabballah still people practice hasa zaidi katika lugha yake asili, kwa waliofanikiwa kutazama muvi kama vile vampire diaries, secretcircle,legend of the seeker,merlin,n.k utakuta wapo vijana wanaotambulika as  a witch kwa kufanya mazingaombwe huku wakinena na lugha ya kabballah.
TOLEO LIJALO TUTAONA
. NI NINI HASA KABBALAH?
.NI NANI KABBALIST?
.NA NINANI ANAYEPASWA KUIJUA KABBALAH?


Saturday, June 22, 2013

IFAHAMU TOP TEN YA WANYAMA WENYE SUMU KALI ULIMWENGUNI..


                         1:BOX JELLY FISH
miongoni mwa wanyama wenye sumu kali namba moja  inachukuliwa na huyu ambaye anaitwa BOX JELLY FISH (kwa jina la kizungu).BOX JELLY FISH amesababisha vifo sio chini ya 5,567 ambavyo vimerokodiwa tangu mwaka 1954, kwani sumu ya mnyama
u huyu huingia zaidi na kushambulia  sehemu za moyo (heart attack), mifumo ya neva (nervous systems)
pamoja na tishu za ngozi( skin cells).sumu hii ikimpata kiumbe chochote kwnaza hupata shock(kupararaizi) na kufa haraka mno kwa mshtuko wa moyo.wataalamu wanasema ni vigumu mno kupona labda upate matibabu haraka mno.soma hapa chini jinsi ya kuitibu hiyo sumu kiutaalam zaidi
 You have virtually no chance to survive the venomous sting, unless treated immediately. After a sting, vinegar should be applied for a minimum of 30 seconds. Vinegar has acetic acid, which disables the box jelly’s nematocysts that have not yet discharged into the bloodstream (though it will not alleviate the pain). Wearing panty hose while swimming is also a good prevention measure since it can prevent jellies from being able to harm your legs. BOX  JELLY FISH hupatikana zaidi  majini katika bara la ASIA na ustralia.


    2. KING COBRA

KING COBRA anashikilia namba mbili kwa wanyama wenye sumu kali mno duniani urefu wake unakadiriwa kuwa ni 5.6 m(18.5ft).mnyama huyu akifanikiwa kukungata mara moja tu huweza kuku ua hapohapo.inasadikika kuwa KING COBRA anaeweza pia kuua tembo(ASIAN ELEPHANT) ndani ya masaa 3 tu.mara nyingi huwa wanapatikana maeneo ya kusini,na kusini mashariki ya ASIA




3.MARBLED CONE SNAIL
kimuonekano mdudu huyu ni mzuri mno lakini ni miongoni mwa wanyama wenye sumu kali  anayeshikilia namba 3 ulimwenguni.wataalamu wanasema kuwa tone moja la sumu ya huyu mnyama linaweza kuua binadamu  20.mazingira wanayopatikana sana ni katika maeneo yenye maji ya chumvi yenye 
uvuguvugu na wanashauri kuwa ukifanikiwa kumuona usiwe na wazo hata la kumbeba kwani dhumuni la hiyo sumu  ni mawindo(for prey).Dalili za sumu za huyu mnyama zinaweza kuonekana wakati huohuo au unaweza kuchukua muda kidogo kuonekana, na dalili zake kuu huwa ni kupumua kwa shida,unaanza kupata matatizo ya kuona, misuli kupararaizi.hata hivyo mpaka sasa ni vifo30 tu ndivyo vilivyo ripotiwa kutokana na  huyu mnyama.

4.BLUE -RINGED OCTOPUS
BLUE RINGED OCTOPUS ni mnyama ambaye kiumbo ni mdogo mno inasadikika kulingana na umbo la mpira wa golf, sumu yake inasadikika kuwa ni kali mno ambayao inaweza kuua binadamu watu wazima 26 (adult humans) ndani ya dakika moja na hakuna dawa ya kuitibu sumu yake.su
mu yake inapoingia ndani ya mwili wa mtu huwa husikii maumivu(painless) lakini ndani ya muda mdogo tu utasikia uchovu wa misuli,inafuatwa na ukoma na mwishowe ni kufariki.

5.DEATH STALKER SCORPION

mara nyingi na imezoeleka kuwa ng'e ni wadudu ambao hawazuru kwa binadamu isipokuwa huwa wanaleta madhara madogomadogo kama vile maumivu, ganzi na kuvimba tu. lakini kwa aina hii ya nge ni hatari sana kwani sumu yake ni kali mno ambayo huleta makali na maumivu yake ni vigumu kuyavumilia. kwanza utaanza kusikia homa,kukosa fahamu,kupata degedege,kupararizi na baada ya hapo ni kifo .japokuwa sumu yake ni kali  mno ni vigumu kuua kwa mtu mwenye afya nzuri, ila  kwa watoto wadogo,wazee, au kwa watu wenye matatizi ya moyo huwa hatari kubwa mno na kuathirika na sumu ya huyu mnyama..

ENDELEA KUFUATILIA ...KATIKA TOLEO LIJALO