Showing posts with label shilole. Show all posts
Showing posts with label shilole. Show all posts

Sunday, February 2, 2014

MCHUMBA WA KIZUNGU WA SHILOLE NI MWANAUME TATA..HEBU ANGALIA HIZI PICHA

Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mchumba wake.

Yeleuuuwi! Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata. 
 POZI TATA: Ankar katika pozi.
Kikizungumza na Ijumaa Wikienda kutoka London, Uingereza, wikiendi iliyopita, chanzo hicho makini kilisema mwanaume ambaye hivi karibuni Shilole alijinadi kuwa ni bwana’ke siyo kwani huko London baadhi ya watu wanamfahamu kama mwanaume tata kijinsia.
MAUNO: Ankar akikata mauno.
“Yule jamaa anapenda sana kukaa na wanawake, sijawahi kumuona na wanaume wenzake, kazi kukata tu mauno na wanawake. Nilishangaa sana Shilole kusema eti ni mchumba’ke wakati hapa London (Uingereza) ni maarufu sana kwa kushiriki pati za wanawake.
WAPENZI: Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na 'mchumba wake', Ankar.
“Maskini Shilole, pale imekula kwake, hakuna chochote,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kunyetishiwa habari hizo, gazeti hili lilimtafuta Shilole ambapo alikuwa na haya ya kusema:
 
PIPI YA KIJITI: Ankar akifyonza pipi ya kijiti.
“Jamani imeniuma sana kwani nilikuwa sijui, nimeligundua hilo baada ya kuambiwa na watu, nilipigiwa simu kutoka Uingereza kwamba yule mwanaume siyo hivyo sina mpango naye tena kwa kweli,” alisema Shilole anayetamba na kideo cha Nakomaa na Jiji.
 
TABASAMU: Ankar akitabasamu katika pozi


SOURCE:GPL

Thursday, December 26, 2013

PICHA:SHOW YA SHILOLE ALIYOIFANYA UINGEREZA ....KAMA KAWAIDA YAKE KURUHUSU KUTOMASWA NA WASHABIKI...



























PACHA YAKE SNURA NDO HUYOOO''CHEZEA YEYE' MBUTA NANGA' WAS SUCH A FAB NIGHT LAST NIGHT 'THANKS TO DIDA ....KATUFANYIA KWELIIIIIII'''

 THE HELPING HAND FROM OUR PRETTY MPORA ''

















Sunday, December 22, 2013

HIVI NDIVYO WAJANJA WALIVYOMFANYA SHILOLE MWANANYAMALA DAR ES SALAAM



MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hivi karibuni alimwaga machozi hadharani baada ya kuibiwa simu yake ya mkononi, Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Kwa mujibu wa ‘sosi’ wetu aliyemshuhudia mwanadada huyo akilia, tukio hilo lilitokea Jumapili baada ya Shilole kushuka kwenye gari lake na kumwachia fundi kwa ajili ya marekebisho ambapo alipanda teksi na kuelekea saluni, alipofika akajikuta hana simu.
“Shilole alilia kama mtoto mdogo kwani alikuwa anatakiwa kusafiri siku hiyohiyo usiku kwenda Uingereza, ikabidi aanze kufanya jitihada za kupata simu nyingine lakini kwa kuwa ilikuwa ni wikiendi, kazi ilikuwa ngumu kwake,” kilisema chanzo hicho.
Mwandishi wetu alipojaribu kumtafuta Shilole ili aeleze simu ilikuwa ya gharama kiasi gani, hakuwa akipatikana hewani mpaka gazeti hili linaenda mtamboni

Thursday, November 7, 2013

SHULE MUHIMU.., ENGLISH YAMPONZA SHILOLE. MITANDAONI .HAYA NDIYO YALIOMKUTA...


Shilole aliamua kutandika yai kwenye Instagram, ili kuzipa uzito shukrani zake za dhati kwa muongozaji wa video yake ya ‘Nakomaa na Jiji’ itakayotoka Jumamosi hii, Nisher.


Bahati mbaya, yai lake lilivunjika mapema wakati lilipokuwa likiufikisha ujumbe huo na kuwafanya watu waligeuzie mjadala.
Kama tumekuacha kwa lugha hiyo, ni kwamba Shilole aliandika Kiingereza kilichokosewa sarufi aka Broken English.
Shilole aliandika: I did ever think I would do a nice video like this thank you alot to my director @nisherbybee.
Baada ya hapo, haya ndio yaliyosemwa:
    [ @ ] nicrac1914 Lugha za majahazi!! Ongea Kiswahili tu utaeleweka vzr
 
    [ @ ] lisammbando Speaking English is not a joke Hahahahah 
 
    [ @ ] clararobinso Me cjaelewa hiyo lugha mpz, kwan ulitaka kuandika nn hapo?
 
    [ @ ] pinnadelicious Jmn mbona mnapenda kumcritisize hvo mwenzenu sa amekosea nn nyie mnaojua, duh dis is too much 
 
    [ @ ] teddybebe Jaman all in all si mmemuelewa.hata mbuyu ulianza kama mchicha kila kitu kinaitaji mazoezi na usione aibu hata wakikucheka mpenz jitahid tu utaelewa. @shilolekiuno 
 
    [ @ ] teddybebe Kumbukeni hata nyie mlitoka huko hata kama mlisoma za kishuaa. Vizur kumsahihisha na sio kumbeza  4h
 
[ @ ] m_bongo her message sent, delivered, read and understood hicks. By the way english isn't her first language. 
 
    [ @ ] tutupahamidu Did or didnt?!!thank you or thanks to my director?!
 
    [ @ ] raqey_unique Yeah her English is not gud but a bet u all understood wat she meant so stop hating
 
      [ @ ] pinnadelicious Kiswahili every one anajua so mdada wawatu anajitahidi awe internationally so km tumeelewa wat she mean mbona hakuna tatizo, sema bongo tumemeza!!!!
 
    [ @ ] eshyleta bora washushuliwe tu, coz baadae wanaleta nyodo za kiswanglish, et kiswahili hawezi baadhi ya maneno, km huwezi kithungu tumia lugha yako ya taifa
 
    [ @ ] makavlive @shilolekiuno mwisho wa ujuaji ni aibu...ona sasa, ungeandika kiswahili isingekua shida, kutaka ung'eng'ee shule yenye hujaenda...acha kuiga paka la baa wee ongea kinyamwezi unachokijua!
 
    [ @ ] auma_bebe we al knw dat english iz not our mothertongue n tz nxma mnaijua histry yke shilole ss y mnamponda hvyo bdala hta ya kumrekebisha? sio fair bna...
HIZI NI Screenshot Baadhi..



Thursday, October 3, 2013

BALAA!!!: ANGALIA JINSI SHILOLE ALIVYONYONYWA MATITI NA SHABIKI WAKE JUKWAANI

 Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote.
 Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shabiki wake
 jamaa akifaidi ziwa la Shilole