Showing posts with label elimudunia. Show all posts
Showing posts with label elimudunia. Show all posts

Tuesday, September 23, 2014

NIMEMJUA MWANAMKE ANAETEMBEA NA MUME WANGU,, NIMEUMIA SANAAA, NAOMBENI USHAURI WENU



Habari MPEPETAJI,
Naombeni msaada wa maawazo yenu, nimegundua kuna mwanamke anatembea na mume wangu, mume wangu alikataaaaaa kwa mara ya kwanza, lakini baada ya kufatilllia na kuchunguza kwa muda mrefu nikaja kuhakikisha ni kweli kabisa, mwanamke anaomba msamaha kwamba wataachana na hatorudia tenaa, na mume wangu pia anasema hatorudiaa,

Nimeumia sana mwenzenu, nimeumia kupita kias, kwakuwa nilimpenda, nilimheshimu, nilimjali sana mume wangu, nilikuwa teyari kumuachia yeye kila kilicho changu, nilimsikiliza sana, sikutegemea kama atakuja kunitenda hivi, imekia kipindi najuta kwanini niliolewa nay eye,  sikutegemea kabisa kutokana na muonekano alio nao,,, details zoote za huyo mwanamke wake niko nazo, niliomba niprintiwe kupitia mitandao ya simu wanayotumia, niko nazo mkononi, staki kuamini, ninalia kama mtoto mdogo, ni bora niibiwe pesa nitatafuta, kuliko kuibiwa penzi,, nitalipata wapi,,

Nimechanganyikiwa, nataka kuondoka kwenda kwetu nikapumzike, nimwache kwanza, maana kila nikimuona Napata hasira natamani kumkaba kabisa, nimemchukia mno,,, sina amani ya kuwa nay eye, hali hii hadi lini?? Nifanyaje?

Sunday, August 31, 2014

FANYA HAYA UKIKUTANA NA EX WAKO...


 
1. KUWA MUWAZI kama upo tayari kuongea na ex wako mkikutana, akuulizapo swali lolote mjibu inavyotakiwa kwa majibu mafupi yasiyo ya kubabaisha yenye ukweli mtupu. Kama ni ndiyo 'ndiyo' na kama ni hapana 'hapana' itakufanya kujenga utu wako na kukupa kujiamini.
2. USIJITONGOZESHE kama umeshaachana na mpenzi wako mpya kwa sababu ya huyo mpenzi wako wa zamani usifanye mambo ya kujitongozesha kama vile kukaa naye karibu kumchekea chekea au kumtega kwa namna yeyote ile kama ikitokea bado unampenda muache yeye akuanze na umsumbue katika kumjibu kwa sababu kama mlishaachana huna hakika lile kosa halitajirudia mkirudiana.
3. KUWA NA MAWAZO CHANYA wengi wanapokuwa pamoja na wapenzi wao waliopita hufikiria negative hujiuliza anawaza nini? Ananiona mbaya? Vipi kama anakuja kunionesha mpenzi wake mpya? Haya ni maswali machache yanayowapitia wengi vichwani mwao. Lakini kama ukiwa na mawazo chanaya unaweza kujiamini na uwezo hata wa kumface huyo mpenzi wako aliyepita kwa hiyo uwapo na ex wako fikiria mawazo chanya.
4.RELAX muda mwingi watu mnapokutana na wapenzi wenu waliopita huwa mnapanic kitu ambacho unatakiwa kufanya ni kutulia na kuvuta hewa nyingi ndani na kutoa nje hii hujenga kujiamini na kuondoa hofu iliyojengeka usoni mwako
5. USIONESHE KUKOSA FURAHA KATIKA PENZI LAKO LA SASA
usimpe nafasi x wako kujiona yeye ni muhimu sana katika maisha yako yaani ajione yeye alikuwa ni furaha yako ya pekee hata kama huyu wa sasa hana tofauti na yeye lakini jitahidi kujiweka sawa na kumuonehsa kuwa hakuna tatizo huyu wa zamani ili kujenga kujiamini kwako kila mnapozungumzia habari za mahusiano

Friday, August 29, 2014

FAHAMU UMUHIMU WA SHANGA KIUNONI NA JINSI YA KUZITUMIA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.

Shanga zimeanza kuvaliwa tokea zamani na kipindi hicho nahisi zilikuwa zinavaliwa kwa sababu ya urembo zaidi,au zilikuwa zinavaliwa kama sehemu ya mavazi ya mwanamke wa kiafrika lakini sidhani kama zilikuwa zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya kupeana Raha na Utamu.Ili kuepusha Post isiwe Ndefu sana ukachoka kuisoma,nikaona itakuwa jambo la busara nikimix Umuhimu na Jinsi ya kuzitumia kuliko kuelezea mara mbili,kwa hiyo zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni wakati wa kupeana Raha na Utamu;

1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO
Kuna baadhi ya wanawake wa siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto,sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake
pia.Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiuno chake kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.Kama Unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.

2.WENGINE WANAZIVAA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kwenye Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake wamevaa kitu kinaitwa kibwebwe(it is something like an african traditional girdle or bellyband that women wear around their waist for traditional dances or during fighting),wanavaa kibwebwe kwa ajili ya kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na kwa upande wa shanga,kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo pia.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.

3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MWANAUME YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda.(talkin from experience since am a male too).Hata sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi wala hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.
Kwa hiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana Raha na Utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa alone kwa ajili ya kumsuprise mpenzi/mume wako.Utajua kuwa anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa anapay ATTENTION kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana Raha na Utamu.

4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE
Kuna Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia(either Mume,Mpenzi,Kimada etc).Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za Shanga,Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake;

Nyekundu, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake(hedhi/menstruation cycle).Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine yako ukaishia kujichafua.
Nyeupe, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa muda huo,Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Raha na Utamu,kwa hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.
Nyeusi, Kama Ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo teyari kukupa Raha na Utamu lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za siri,kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo romantic tena sana au ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu zimekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.

5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa(when u caress it),lazima mwanamke apate Raha na Utamu. Ukiwa unapeana Raha na Utamu na mwanamke aliyevaa Shanga,wakati wa kupashana joto(foreplay),usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.
Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,chezea shanga kwa kuzipapasa(kuzicaress) kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu(au direction yeyote utakayopenda),ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya(zinamtickle),na atapata Raha na Utamu wa kipekee sana.(jaribu kisha enjoy makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho