Shanga zimeanza kuvaliwa tokea zamani na kipindi hicho nahisi zilikuwa
zinavaliwa kwa sababu ya urembo zaidi,au zilikuwa zinavaliwa kama sehemu
ya mavazi ya mwanamke wa kiafrika lakini sidhani kama zilikuwa
zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya kupeana Raha na Utamu.Ili kuepusha Post
isiwe Ndefu sana ukachoka kuisoma,nikaona itakuwa jambo la busara
nikimix Umuhimu na Jinsi ya kuzitumia kuliko kuelezea mara mbili,kwa
hiyo zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni
wakati wa kupeana Raha na Utamu;
1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO
Kuna
baadhi ya wanawake wa siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na
kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na
kuongezeka mvuto,sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake
pia.Kama
unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiuno chake kilivyopendeza,hata
chako kitapendeza pia.Kama Unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha
na wewe uvae pia.
2.WENGINE WANAZIVAA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kwenye
Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake wamevaa
kitu kinaitwa kibwebwe(it is something like an african traditional
girdle or bellyband that women wear around their waist for traditional
dances or during fighting),wanavaa kibwebwe kwa ajili ya kufanya iwe
rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na kwa upande
wa shanga,kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo pia.Na pia
wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza
mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.
3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MWANAUME YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
Asilimia
kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni
barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia
kusimama bila kupenda.(talkin from experience since am a male too).Hata
sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi wala
hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiunoni lazima upate
hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.
Kwa hiyo kama huna mazoea ya
kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja
wenu wa kupeana Raha na Utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae
ukiwa alone kwa ajili ya kumsuprise mpenzi/mume wako.Utajua kuwa
anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa anapay ATTENTION kuzishikashika na
kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana Raha na Utamu.
4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE
Kuna
Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta
maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia(either
Mume,Mpenzi,Kimada etc).Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika
kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za
Shanga,Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake;
Nyekundu, Kama
ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye
siku zake(hedhi/menstruation cycle).Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate
uhakika zaidi usije ukaingiza mashine yako ukaishia kujichafua.
Nyeupe,
Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa
muda huo,Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Raha na Utamu,kwa
hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.
Nyeusi, Kama Ukikuta
Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo teyari kukupa
Raha na Utamu lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za
siri,kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo romantic tena sana au
ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu zimekuzidia
sana unaweza ukaendelea kama kawaida.
5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kiuno
cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa
au ukikipapasa(when u caress it),lazima mwanamke apate Raha na Utamu.
Ukiwa unapeana Raha na Utamu na mwanamke aliyevaa Shanga,wakati wa
kupashana joto(foreplay),usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.
Kama
style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike
kiunoni pake basi peleka mikono yako,chezea shanga kwa
kuzipapasa(kuzicaress) kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda
juu(au direction yeyote utakayopenda),ukifanya hivyo hizo shanga zake
zitakuwa kama zinamtekenya(zinamtickle),na atapata Raha na Utamu wa
kipekee sana.(jaribu kisha enjoy makelele na miguno ya kimahaba
atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho