1.
KUWA MUWAZI kama upo tayari kuongea na ex wako mkikutana, akuulizapo swali
lolote mjibu inavyotakiwa kwa majibu mafupi yasiyo ya kubabaisha yenye ukweli
mtupu. Kama ni ndiyo 'ndiyo' na kama ni hapana 'hapana' itakufanya kujenga utu
wako na kukupa kujiamini.
2.
USIJITONGOZESHE kama umeshaachana na mpenzi wako mpya kwa sababu ya huyo mpenzi wako wa zamani
usifanye mambo ya kujitongozesha kama vile kukaa naye karibu kumchekea chekea
au kumtega kwa namna yeyote ile kama ikitokea bado unampenda muache yeye
akuanze na umsumbue katika kumjibu kwa sababu kama mlishaachana huna hakika
lile kosa halitajirudia mkirudiana.
3. KUWA NA
MAWAZO CHANYA wengi wanapokuwa pamoja na wapenzi wao waliopita hufikiria
negative hujiuliza anawaza nini? Ananiona mbaya? Vipi kama anakuja kunionesha
mpenzi wake mpya? Haya ni maswali machache yanayowapitia wengi vichwani mwao.
Lakini kama ukiwa na mawazo chanaya unaweza kujiamini na uwezo hata wa kumface
huyo mpenzi wako aliyepita kwa hiyo uwapo na ex wako fikiria mawazo chanya.
4.RELAX muda
mwingi watu mnapokutana na wapenzi wenu waliopita huwa mnapanic kitu ambacho
unatakiwa kufanya ni kutulia na kuvuta hewa nyingi ndani na kutoa nje hii
hujenga kujiamini na kuondoa hofu iliyojengeka usoni mwako
5. USIONESHE
KUKOSA FURAHA KATIKA PENZI LAKO LA SASA
usimpe nafasi
x wako kujiona yeye ni muhimu sana katika maisha yako yaani ajione yeye alikuwa
ni furaha yako ya pekee hata kama huyu wa sasa hana tofauti na yeye lakini
jitahidi kujiweka sawa na kumuonehsa kuwa hakuna tatizo huyu wa zamani ili
kujenga kujiamini kwako kila mnapozungumzia habari za mahusiano