Saturday, June 22, 2013

IFAHAMU TOP TEN YA WANYAMA WENYE SUMU KALI ULIMWENGUNI..


                         1:BOX JELLY FISH
miongoni mwa wanyama wenye sumu kali namba moja  inachukuliwa na huyu ambaye anaitwa BOX JELLY FISH (kwa jina la kizungu).BOX JELLY FISH amesababisha vifo sio chini ya 5,567 ambavyo vimerokodiwa tangu mwaka 1954, kwani sumu ya mnyama
u huyu huingia zaidi na kushambulia  sehemu za moyo (heart attack), mifumo ya neva (nervous systems)
pamoja na tishu za ngozi( skin cells).sumu hii ikimpata kiumbe chochote kwnaza hupata shock(kupararaizi) na kufa haraka mno kwa mshtuko wa moyo.wataalamu wanasema ni vigumu mno kupona labda upate matibabu haraka mno.soma hapa chini jinsi ya kuitibu hiyo sumu kiutaalam zaidi
 You have virtually no chance to survive the venomous sting, unless treated immediately. After a sting, vinegar should be applied for a minimum of 30 seconds. Vinegar has acetic acid, which disables the box jelly’s nematocysts that have not yet discharged into the bloodstream (though it will not alleviate the pain). Wearing panty hose while swimming is also a good prevention measure since it can prevent jellies from being able to harm your legs. BOX  JELLY FISH hupatikana zaidi  majini katika bara la ASIA na ustralia.


    2. KING COBRA

KING COBRA anashikilia namba mbili kwa wanyama wenye sumu kali mno duniani urefu wake unakadiriwa kuwa ni 5.6 m(18.5ft).mnyama huyu akifanikiwa kukungata mara moja tu huweza kuku ua hapohapo.inasadikika kuwa KING COBRA anaeweza pia kuua tembo(ASIAN ELEPHANT) ndani ya masaa 3 tu.mara nyingi huwa wanapatikana maeneo ya kusini,na kusini mashariki ya ASIA




3.MARBLED CONE SNAIL
kimuonekano mdudu huyu ni mzuri mno lakini ni miongoni mwa wanyama wenye sumu kali  anayeshikilia namba 3 ulimwenguni.wataalamu wanasema kuwa tone moja la sumu ya huyu mnyama linaweza kuua binadamu  20.mazingira wanayopatikana sana ni katika maeneo yenye maji ya chumvi yenye 
uvuguvugu na wanashauri kuwa ukifanikiwa kumuona usiwe na wazo hata la kumbeba kwani dhumuni la hiyo sumu  ni mawindo(for prey).Dalili za sumu za huyu mnyama zinaweza kuonekana wakati huohuo au unaweza kuchukua muda kidogo kuonekana, na dalili zake kuu huwa ni kupumua kwa shida,unaanza kupata matatizo ya kuona, misuli kupararaizi.hata hivyo mpaka sasa ni vifo30 tu ndivyo vilivyo ripotiwa kutokana na  huyu mnyama.

4.BLUE -RINGED OCTOPUS
BLUE RINGED OCTOPUS ni mnyama ambaye kiumbo ni mdogo mno inasadikika kulingana na umbo la mpira wa golf, sumu yake inasadikika kuwa ni kali mno ambayao inaweza kuua binadamu watu wazima 26 (adult humans) ndani ya dakika moja na hakuna dawa ya kuitibu sumu yake.su
mu yake inapoingia ndani ya mwili wa mtu huwa husikii maumivu(painless) lakini ndani ya muda mdogo tu utasikia uchovu wa misuli,inafuatwa na ukoma na mwishowe ni kufariki.

5.DEATH STALKER SCORPION

mara nyingi na imezoeleka kuwa ng'e ni wadudu ambao hawazuru kwa binadamu isipokuwa huwa wanaleta madhara madogomadogo kama vile maumivu, ganzi na kuvimba tu. lakini kwa aina hii ya nge ni hatari sana kwani sumu yake ni kali mno ambayo huleta makali na maumivu yake ni vigumu kuyavumilia. kwanza utaanza kusikia homa,kukosa fahamu,kupata degedege,kupararizi na baada ya hapo ni kifo .japokuwa sumu yake ni kali  mno ni vigumu kuua kwa mtu mwenye afya nzuri, ila  kwa watoto wadogo,wazee, au kwa watu wenye matatizi ya moyo huwa hatari kubwa mno na kuathirika na sumu ya huyu mnyama..

ENDELEA KUFUATILIA ...KATIKA TOLEO LIJALO