Mtanzania aliyekuwa
anaiwakilisha Tanzania katika mjengo wa Big Brother Season 8 'The
Chase', Feza Kessy na kuondolewa, hivi karibuni alifanya mahojiano
katika kipindi cha Hatua Tatu cha 100.5 Times FM. Katika kipindi hicho,
yafuatayo ni baadhi aliyoyaelezea:
-Alivyojisikia baada ya Mtanzania mwenzake Nando kuondolewa
-Asema alijua kuwa atatolewa mjengoni
-Kuhusu mapenzi mjengoni
-Mwanaume gani anapenda kuwa naye
-Adai kabla ya kwenda BBA 'The Chase' hakuwa na mpenzi
-Aelezea umri wake kuwa ni miaka 25
-Aeleza faida za BBA kwa Tanzania
-Malengo yake baada ya kutolewa BBA