MADAWA YA KULEVYA TUMBONI
Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili. |
Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki. |
Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu. |
Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. |
Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo. |
Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana. |
Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha. |
Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo. |
Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari . |