Thursday, August 1, 2013

TAZAMA HAPA PICHA YA REALITY SHOW MPYA YA IRENE UWOYA



Mwanadada Irene Uwoya anakuja na tv show ambayo itakuwa ni ya kipekee ukilinganisha na tv show nyingine ambazo zimesha anzishwa hapa tz.
The show will be aired by clouds tv and the idea behind is general cleanness of dirty houses in Tanzania. Show yake itakuwa inaonyesha mwanzo nyumba ikiwa kwenye hali mbaya hadi atakapo ikamilisha kwa