Mbunifu
wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)alipokutana na Rais Jakaya
Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo
mbalimbali kuhusiana na tasnia hiyo jana.Rais
Jakaya Kikwete akizungumza na ujumbe wa mbunifu wa mavazi wa kimataifa
Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia) Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Rais
Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya
nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria
Ngowi (kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam jana. Mwenye suti ya bluu
kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Bw. Haki Ngowi ambaye
pia ni blogger maarufu nchini. Rais
Jakaya Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Ujumbe wa Mbunifu wa
mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa pili kushoto) Ikulu jijini Dar es
Salaam jana
CREDITS:GPL