Thursday, March 20, 2014
KHANGA MOJA WAPIGWA MARUFUKU KUKANYAGA MWANZA, WANAWAKE ZA WASEMA WAKITHUBUTU KUTIA KWATO ZAO HUKO WATAKIONA CHA MOTO
at
1:27 AM
Wanawake kadhaa wa watu Mkoani Mwanza wametoa onyo kali kwa kundi maarufu linalochenza uchi la Khanga moja kutokanyaga mkoani humo kwa kile walichodai hawataki kuona upuuzi wao.
Kwaa mujibu wa muandaaji wa shoo hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mwanza Hall Club aitwae Chaku ambae ni promota maarufu alisema " Ni kweli wanawake wengi hakupendezewa na tabia ya uchezaji uchi wa wanawake hao kwanza ni kukiuka maadili ya wasukama ambao kwa kawaida huwa na heshima sana, pili ni kuhatarisha ndoa zao hivyo hawataki tena kuwaona.