Diamond na Wema Sepetu hakuna ubishi ni wapenzi rasmi kama zamani na
Peniel Mungilwa hana chake kutokana na ishara za wawili hao kuwa penzini
waziwazi. Habari mpya ni kuwa show ya Diamond jana ilipambwa na Wema
Sepetu jukwaani kwa kuimba pamoja huku watu wakifurahia wawili hao kuwa
jukwaani wote. Angalia picha hapo chini ilivyokuwa kwa Wema na Diamond
jana...........


Tukio hilo lilitokea jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo....
Kwenye hiyo show, Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”? Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa "ukimwona" akasema:
“Nasikia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Baada ya kauli hiyo, Wema Sepetu alipanda kwenye stage kisha wakakumbatiana na kucheza wote.
-