Saturday, September 21, 2013

Picha na Video:Watu 20 wauawa baada ya majambazi kuteka duka moja kubwa mjini Nairobi

Watu 20 inaarifiwa wameuawa na majambazi hao na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa. Polisi wangali wanaendesha opereshenidhidi ya majambazi hao .

Duru zinaarufu kuwa huenda ni magaidi waliofanya kitendo hicho lakini polisi wangali kutoa taarifa rasmi......

TUKIO hilo la uvamizi limetokea huko Westlands Nairobi ambapo Watu waliojihami wameteka idadi ya watu wasiojulikana katika moja ya maduka makubwa mjini Nairobi  leo.







 Hatimaye Jeshi la kenya likaingilia kati




CHEKI VIDEO YA TUKIO HILO HAPA CHINI