Saturday, September 21, 2013
VIDEO YA JANUARY MAKAMBA AKIONGELEA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2015
at
4:35 AM
Mahojiano haya yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia Star TV kwenye kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi. Mambo yaliyozungumziwa:
1. Uendeshaji na mwelekeo wa Bunge,
2. Vijana na Uongozi,
3. Suala la Urais 2015,
4. Mwelekeo wa Chama Cha Mapinduzi,
5. Rushwa na maadili katika Chaguzi