Thursday, August 22, 2013

TAZAMA BABA YAKE BOB JUNIOR AKIFANYA SHOO YA NGUVU NCHINI FINLAND...

 
Bob Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya.


Weekend iliyopita mdingi wa Bob Junior ali-perform nchini Finland kama anavyoonekana pichani hapo chini akifanya makamuzi ya kufa mtu.