Thursday, August 22, 2013

HII LAANA..! ANGALIA VIDEO TATU ZA MFANYABIASHARA WA MOSHI AKIMLAWITI MFANYAKAZI WA DUKANI..!

  JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limemkamata mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, Totolii Kimath anayedaiwa kurekodi mkanda wa video ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz amedai  kuwa kijana huyo ambaye anamiliki maduka ya kuuza na kutengeneza CD katika kituo kikuu cha mabasi cha mjini Moshi, alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), akitokea Dubai.

 BOFYA  HAPO  CHINI  KUZIONA  VIDEO....

               BOFYA HAPA KUZIANGALIA HIZO VIDEO