Rais Robert Mugabe Akimkaribisha Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad Mwaka 2010Serikali
ya Zimbabwe imeingia mkataba wa siri kwa ajili ya kuiuzia Iran mali
ghafi zinazosaidia kutengeneza vifaa vya nyukilia, hii ikiwa ni kinyume
na sheria za kimataifa.Nimeuona (Mkataba wa mkataba wa awali) [a memorandum of understanding] wa kusafirisha madini ya uranium kwa wa Iran,” alisema Naibu Waziri wa Madini wa Zimbabwe, Gift Chimanikire
|