Friday, August 30, 2013

JESHI LETU LA JWTZ NA MONUSCO LAFANIKIWA KUITEKA NGOME KUU YA WAASI WA M23

FIB Tanzania (special forces in Congo ambayo  ni  sehemu  ya  MONUSCO) imeichukua ngome kuu ya waasi wa M23 ya Kibati (Nyirangongo Territory - Goma, Eastern DRC).
Mizinga ya wapiganaji wetu ilirindima na kutembeza mabomu mfululizo huku askari wetu wa miguu wakipanda mlima ulio eneo hilo na kisha kuichukua ngome hiyo...