Thursday, August 1, 2013

CHUMBA ALICHOPELEKWA ROSE NDAUKA CHAKUTWA NA KONDOMU TANO ZILIZOTUMIKA

 

Chumba cha hoteli ambacho Rose Ndauka  alinaswa  akiingia  na  dogo  Nasry  ambaye  ni  msanii  wa  bongo  fleva, kimekutwa  na  kondomu  tano  zilizotumia...

Rose  Ndauka  ambaye  ni  mchumba  wa  Malik  Bandawe,wiki  iliyopita  alinaswa  akiingizwa  katika  chuba  hicho na  msanii Nassoro Ayoub  "Nasry".
 
 
 Kwa  msaada  wa  wafanya  usafi  wa  hoteli  hiyo  iliyoko  maeneo  ya  kinondoni  jijini  Dar,wawili  hao  waliingia  katika  chumba  nambaG17  cha  hoteli  hiyo  na  kutumia  masaa  takribani  matatu  huku  chumba  kikiwa  kimefungwa  na  walipotoka  chumba kilikuwa  hoi  bin  taaban....

"Mimi  ndiye  niliyefanya  usafi  chumba  namba  G17  siku  hiyo  na  nilikuta  kondomu tano  zilizotumika  huku  shuka  zikiwa  zimevurugika  kabisa."..Alifunguka  mfanya  usafi  huyo

Tukio  la  binti  huyu  kunaswa  akiingizwa  hotelini  na  dogo  Nasry  linatia  shaka  uchumba  wake  na  Malik Bandawe  ambaye  kwa  kipindi  kirefu  wamekuwa  wakitangaza  mipango  yao  ya  kufunga  ndoa