Monday, July 8, 2013

VIDEO: JENGO LA WIZARA YA UCHUKUZI LIMENUSURIKA KUUNGUA MOTO


Shughuli za serikali zimelazimika kusimama kwa zaidi ya saa moja kutokana na wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi kukimbia nje ya ofisi zao baada ya jengo lililoungana na wizara hiyo kupata hitilafu ya umeme iliyosababisha kutaka kuanza kuungua moto