Sunday, August 18, 2013

ANGLIA PICHA ZA NAMNA KILI MUSIC TOUR ILIVYOFANA HUKO MWANZA

 Maelfu ya mashabiki wa jiji la Mwanza waliojitokeza uwanja wa CCM Kirumba kuwashuhudia wakali wa Muziki katika Kilimanjaro Music Tour
 Msanii wa Ragga Dabo ndiye aliefungua rasmi show ya Kili Music Tour 2013
 Rais wa masharobaro Bob Junior jukwaani na madansa wake

 Ali Tall maarufu kama AT akiwaduarisha wakazi wa Mwanza katika jukwaa la Kikwetu kwetu


 Mkali wa R&B Ben Pol akiwaimbisha mashabiki wake
 Roma Mkatoliki alikuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kupanda jukwaani.

 Lady Jaydee akiwasha moto katika jukwaa la Kili Music Tour huku akipewa kampani na Profesa Jay katika wimbo wa Joto Hasira

 Mshindi wa tuzo 3 katika Kili Music Awards 2013 Kala Jemremiah akithibitisha ubora wake jukwaani.

 Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wake

 Mtoto wa nyumbani Fid Q "Ngosha akifunga show ya Kili Music Tour 2013 jijini Mwanza
 Diamond Platnumz backstage
 Lady Jaydee na Profesa Jay katika backstage baada ya kupiga show
Kala Jeremiah na Ben Pol