Tuesday, July 30, 2013

MWANAUME AKATWA ULIMI NA MKE WAKE KISA WIVU HUKO NGARA

  
Bw.Anord Nyabenda akionesha Ulimi wake namna ulivyokatwa kwa meno na mkewe. Imeelezwa kuwa chanzo ni wivu wa kimapenzi kati yake na mkewe. Hadi sasa mwanamke hajafika Hospitalini alikolazwa kwa matibabu ili kujulia hali mwenzake.
Kumfanyia mwenzi wako kitu  hiki ni hatari sana...