Monday, September 22, 2014

Hamisa Mobeto Amuweka Wazi Mpenzi Wake Na Kumuandikia Ujumbe Wa Kimahaba.

Model na actress wa Tanzania Hamisa Mobeto amemuwanika mpenzi wake wa sasa ambaye ni Dj Majey alieye mmoja wa wakurugenzi wa Radio E-fm ya jijini Dar es salaam. Kupitia mitandao ya kijamii.

 Hamisa ameonyesha waziwazi mahaba yake kwa mpenzi wake huyo ambaye wana miezi sita sasa huku wakiwa na mipango ya kuoana. Vile vile leo ni siku ya kuzaliwa ya Dj Majey hivyo Hamisa ambaye filamu yake mpya iliyotoka karibuni ni Chausiku aliandika........

"today may soulmate was born.............happiest birthday to the best guy in da world
my heartbeat, my best friend, my mshauri my kila kitu kwa kweli naona nikiendelea kuandika siwezi hata kumaliza, binadamu ninaempenda baada ya mama yangu, I love this man right here, I kissed a lot of frogs but he is the only prince"

                                                                       Hamisa