“Kwanza nilishawahi kukutana naye kwenye shoo tofauti na zote sikuwahi hata kuzungumza naye chochote, ni staa na mimi staa lakini tunatofautiana kuwa yeye yupo juu yangu,” alisema Meninah.
Friday, August 15, 2014
MENINAH AFUNGUKA ADAI KUWA DAIMOND SIO LEVO YAKE.....
at
11:50 PM
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem
‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na uhusiano wa
chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo levo yake.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ akiwa ndani ya studio za Global Tv Online.
Akichonga na paparazi wetu, Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya
Kijiti alikanusha na kusema kuwa, wote ni mastaa lakini wametofautiana
kwa kiasi kikubwa na kwamba hawezi kuwa naye katika mahusiano ya aina
yoyote.