Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akingoza kikao cha kamati kuu ya
CCM kilichofanyika katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma mchana
huu.Kushoto ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na kulia ni katibu
Mkuu wa CCM Bwana Abdulrahman Kinana