Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha clouds FM chini ya
bwana Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na FUNUNU kali iliyokuwa
inamuhusu mwanadada wa bongomovies Elizabeth Bin Michael a.k.a LULU na
mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Young D al-maarufu kama Young Dar es
salaam kama mwenyewe anavyojiita ya wawili hao kukutwa kwenye gari
wakifanya lile tendo linaloruhusiwa kufanywa mara baada ya mdada na
mkaka kufunga ndoa.
Kwa mujibu wa Sudi Brown = Gossip cop, wawili hao walikutwa
maeneo ya Mbezi beach ndani ya gari aina ya Hyundai ya mwanadada lulu na
polisi wa doria wakivunja amri hiyo iliyokatazwa na vitabu vyote
vitakatifu kwa maana ya biblia, Quran na vitabu vingine vya dini
ulimwenguni.
Habri zainasema Baada ya wawili hao kukutwa eneo hilo na polisi
walipelekwa pembeni gizani na kuongeana polisi kabla ya wao kutokomea
wasipojulikana na gari hilo.
Alipopigiwa simu mwanadada LULU alipokea na kukata muda mfupi na
baadaye Young D alipopigiwa simu alitoa majina ya utata kama
alivyoongea mwenyewe kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha clouds fm. MSIKILIZE MWENYEWE HAPA
Kwa mujibu wa Sudi Brown = Gossip cop, wawili hao walikutwa maeneo ya Mbezi beach ndani ya gari aina ya Hyundai ya mwanadada lulu na polisi wa doria wakivunja amri hiyo iliyokatazwa na vitabu vyote vitakatifu kwa maana ya biblia, Quran na vitabu vingine vya dini ulimwenguni.
Habri zainasema Baada ya wawili hao kukutwa eneo hilo na polisi walipelekwa pembeni gizani na kuongeana polisi kabla ya wao kutokomea wasipojulikana na gari hilo.
Alipopigiwa simu mwanadada LULU alipokea na kukata muda mfupi na baadaye Young D alipopigiwa simu alitoa majina ya utata kama alivyoongea mwenyewe kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha clouds fm. MSIKILIZE MWENYEWE HAPA