Mahakama ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na  Mahakama
 ya Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia  huru 
staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka…