Filamu hiyo mpya ambayo yupo na Cyril Kamikaze ambaye ni mwanamuziki wa Bongofleva inaitwa Kivuli Cha Binadamu. Rayuu pia anakuja na filamu ya Chicken Head akiwa na Vicent Kigosi(Ray), Skyner Ally na Walter De Ngonde.
Thursday, November 7, 2013
SCENE ZA MAPENZI ZINANIPA WAKATI MGUMU......, RAYUU !!!!
at
12:46 AM
Rayuu ambaye ni actress wa Swahiliwood amesema kuwa moja ya mambo ambayo huwa yanamuweka katika wakati mgumu anapokuwa katika kazi zake za filamu ni kuigiza scene za mapenzi na wakati mwingine humlazimu kuonja ulabu kidogo ili aende sawa. Akizungumza na MWANDISHI WETU Rayuu alisema "dah scenes za mapenzi me zinaniweka kwenye wakati mgumu, kama jana nimeshikwa tako yaani limeminywa dah ilibidi ninywe kwa maana Cyril Kamikaze alifanya yake"