Wednesday, November 6, 2013

HUYU NDO MFANYAKAZI WA TBC ALIYE UWAWA KWA KUPIGWA RISASI NA WATU WANAO SADIKIKA KUWA NI MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO

Mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji Nchini TBC, pichani,RAMADHAN GIZE ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosaidiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia leo katika eneo la UBUNGO Maziwa Jijini DSM.* * * *Tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuvamia duka moja katika eneo hilo la UBUNGO MAZIWA kwa lengo la kupora, ambapo mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la MWARAMI RAJABU amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na watu hao wanaosaidiwa kuwa majambaz