Monday, November 18, 2013

HUKUMU YA KAJALA NOVEMBA 25 MWAKA HUU BAADA YA MUMEWE KUKATA RUFAA.....

Kajala Masanja.
Msanii wa filamu Kajala Masanja atahukumiwa upya Novemba 25 mwaka huu, baada ya mumewe kukata rufaa. Hukumu ya rufaa ilibidi isomwe leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam lakini imeahirishwa baada ya Jaji aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo kupata hudhuru!