Sunday, October 27, 2013

UPDATES:JAMALI MALINZI RAIS MPYA TFF....


JAMALI Malinzi amechaguliwa kuwa Rais Mpya wa TFF baada ya kumpiku mpinzani wake Athuman Nyamlani katika uchaguzi mkuu uliofanyika leo na kubalizika usiku huu. Uchaguzi huo, uliotawaliwa na kashkashi za hapa na pale, ulifanyika katika ukumbi wa NSSF WATER FRONT, Dar es salaam. Kwa habari zaidi, ENDELEA kufuatlia  katika hii blog...