Picha aliyoipost mtandaoni Staa wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya ikimuonyesha mtoto wake Krish Ndikumana akiwa ameshika glasi ya pombe imemfanya msanii huyo ashambuliwe baada ya mashabiki wake kutoa maoni kwamba hapaswi kufanya hivyo kama mzazi na kioo cha jamii kwani anamfundisha tabia mbaya mtoto wake huyo.
Irene amepost picha hiyo akiwa Jijini Arusha katika hoteli ya Mount Meru na msanii mwenzake Blandina Chagula‘Johari’wakila bata na marafiki zao wa huko.
dayanachuwa crish hapan shika hiyo mbaya sana.ntakusemea kwa anko babu 1d
• chiispice Acha kushika hiyoo dudu @totoo zuyi crish...
• bawilid hell no