Thursday, October 17, 2013

Bango linaloonyesha picha ya Yesu akiwa amechorwa Tattoo mwili mzima lawakera wakristo Nchini Marekani.


Hata hivyo ,kundi la watu ambao wameweka bango hilo wamelitetea na kudai kwamba wamechora na kuliweka kwa nia nzuri ili kuwahubiri watu waende kwake na kusafishwa dhambi zao.

Bango hilo limeandikwa address ya tovuti ambayo ina video inayoonesha watu wanaenda kwa Yesu na wanasafishwa dhambi zao