
habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba moja ya nyumba iliyopo maeneo ya MAGOMENI MIKUMI katika mtaa wa MKUNGUNI jijini dar-es-salaam , kuwa inateketea na MOTO muda huu...., chanzo cha awali kinaonyesha kuwa moto huo mkali ulisababishwa na dawa ya mbu ya kuchoma... kwa habari zaidi endelea kufuatilia katika mtandao wetu hapa