![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxGTjb9TvPo6BHeZf6UjAApk_RZw1YE3qeSnCmkjqnxwEVmiGvMOtb4O5Iwl-39TUdqTSTRM0OKTt6wtyXhASysteatxE-CfQZo8fx1x_wbUr0amwF7xLg8mIfuxqd-O6stWKcCvJ0Pk0/s640/1.jpg)
![]() |
Reality Tv show(In My Shoes) ya Miss Tanzania wa mwaka 2006 na sasa muigizaji wa filamu Wema Sepetu itarushwa rasmi East Afrika Television(Eatv) kuanzia mwezi ujao(October) tofauti na hapo awali ambapo habari ziliandikwa kuwa itarushwa Clouds Tv. Kupitia twitter kituoo hicho maarufu cha Tv Afrika mashariki kimeandika |