Kupitia akaunti yake ya Instagram @irenewaferegola8, uwoya ameandika:
[ @ ] irenewaferegola8 Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushaid pia ntatoa...usilo lijua nikama usiku wagiza ndomana atawadanganya wasio na akili na wasio mjua....ntapgana nae mpaka tone la mwisho la damu yangu ntasema kila kitu kwanin ananichukia...na ntaweka kila kitu waz....den wenye akili watajua naongea nin...simuogop atakama atanichafua kiasi gan...hizo kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe...I don care kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli utaonekana na atataman ardhi ipasuke......mim irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala kulazimishwa nahaaidi ya kwamba ntaongea kila kitu btwn me n him....eeh mwenyez ? MUNGU nisaidie.
hapa chini ni baadhi ya maoni ya fans wa uwoya kila mtu alikuwa na haya ya kusema
bobramso Muamini mungu kwani yy ndio kila kitu na aamini kile ambacho unakiamini wewe,na wahenga wanasema mwisho wa ubaya ni Aibu wacha wakuchafue lakini ukweli unao moyoni mwako.Pambana yatakwisha tu hizo rasharasha za binadamu wenye roho ya kwanini. 3h
levimkush Kama mwenzio jaydee kaweza wewe utashindwaje mamito. Mchane tu laivu......! 2h
salmambeo Thts lyf 2h
lukanga Nimesoma kilichoandikwa na mwandishi wa GloblePublisher bwana Luqman kuhusu @irenewaferegola8 ukisoma utagundua kuwa hata mwandishi haamini anachokiandika, huwezi sema @irenewaferegola8 hawez hana pesa yakununua SIM..... Shigongo lazima ajue watu hawajasahau akilichokifanya kwa CHIFUPA kwasababu tu Amina alikataa kufanya ''Ngono'' 2h
lukanga Wapo tunaoamin Shigongo amehusika na kifo cha Amina, sasa wengine tulidhani unajutia ulichokifanya kwa Amina 2h
pascal500cc @nyaitibya afu na wewe mbona una tumaneno wewe.. sasa wanamvofatilia hadi kwa Personal life huoni wanamshusha hadh yake ukifatilia ni Kioo cha jamii? NDO NIKASEMA APASUE JIPU.. labda alimtakaga akapigwa kibuti tujue... 27min
pascal500cc kwan nani asiejiachia mji huu BANAAA.. Ala!!! 26min
20min
Shutuma hizi zimekuja baada ya gazeti la Risasi linalomilikiwa na Global Publishers katika ukurasa wake wa mbele Jumamosi iliyopita kuandika habari yenye kichwa cha habari ‘UWOYA MBARONI KWA WIZI WA SIMU’, na baadaye Irene alipost Instagram picha ya gazeti hilo na kuandika:
“Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa mawe…shigongo kamua kunichafua coz nakes nae mahakaman…anadhan ntaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata mkondo wake….minayake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali