Sunday, August 18, 2013

OMMY DIMPOZ KUANZA TOUR YAKE NCHINI MAREKANI MWEZI HUU

Ndo yule wa Nai Nai na Baadae....Ukisikia maneno
haya basi utajua ni mistari iliyopo kwenye ngoma
mpya ya Msanii Omary Nyembo a.k.a Ommy


Dimpoz C.E.O wa Pozi kwa Pozi Entertainment
anaetamba na kibao chake kipya ''TUPOGO''
alichomshirikisha Msanii machachari toka Nigeria
J.Martins,lakini hapa sipo kuzungumzia Sana undani
wa ngoma hiyo bali nipo hapa kukujuza
wewe Shabiki wa Mr Pozi kwa Pozi kuwa Mnamo
tarehe 21 mwezi huu Ommy atakuwepo nchini
marekani jijini Washington Dc.

Kama wewe shabiki wa Ommy Dimpoz na mpenda
Bongo Fleva basi the kid from Tanzania
atakuwepo jijini Washington Dc kwa Ziara ya
wiki mbili na kupoga show tano tofauti
ndani ya Washington na vitongoji vyake.....

Kama upo Washington Basi ebu acha kutia huruma
 wewe kaa mkao wa kula uende nae
sawa toka Baadae na mpaka sasa bado yupogo..!
!