Wednesday, August 7, 2013

MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (Patrick Rweyongeza) APIGWA RISASI NA KUFARIKI LEO HII JIJINI DAR






Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa



 kupigwa na risasi.

Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa 

wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea.

Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.