Raia mmoja wa China mwenye miaka 66, aliye tambulika kwa jina la Dean Qiongxiu alisema alimkuta nyoka mwenye miguu akiwa jirani na chumba chake cha kulala.
Alisema aliamka nakusikia kitu kina kwaruza nakuamuwa kuwasha taa na ndipo alipokutana na kiumbe hicho.
"I woke up and heard a strange scratching sound. I turned on the light and saw this monster working its way along the wall using his claw,"
Aliamka na kuamuwa kumuwa nyoka huyo kabla hajamdhuru na kisha alipo mchunguza baada ya kumuuwa alimkuta nyoka huyo hakuwa wa kawaida maana alikuwa na mguu kama walivyo wanyama wenye miguu japokuwa nyoka huyo alikuwa na mguu mmoja.
Urefu wa nyoka huyo ulikuwa nia 16 inches.