Wednesday, August 28, 2013

Baada ya "Kesho" hii ndio single mpya ya Diamond anayotarajia kuitoa soon


Inaonekana Diamond Platinum yoko tayari kuidondosha single yake mpya "Number One", yenye video ambayo imefanyika South Africa na kusemekana imetengenezwa kwa gharama ya zaidi ya sh millioni 50.
kupitia account yake ya instagram Diamond amekuwa akipost picha zilizoambatana na maneno yenye kuuliza maswali na kuishia na hushtag ya neno "Number One"
"|Anaye shukuru na kuridhika kwa kidogo akipatacho....basi huyo ndio My#Number One"
Soon tutegemee single hiyo mpya na utakuwa wakwanza kuisikiliza na kuitizama kupitia hapa