Thursday, August 8, 2013

ANGALIA PICHA YA MHADHIRI WA UDSM AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI

Picture: Patrick Rweyongeza

Mhadhiri wa College of Engeneering katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, Patrick Rweyongeza, ameuawa jana kwa kupigwa na risasi.

Tukio limetokea jana mchana katika maeneo Magomeni-TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwenye pikipiki walimfuata na kumfyatulia risasi na kisha kutokomea.