Monday, July 1, 2013

PICHA ZA MAENEO YA IKULU MUDA HUU WAKIMSUBIRI BARAKA OBAMA

Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. 


Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila mahali kuangalia kwamba mambo yanaenda vizuri, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es salaam walioko katika lango kuu la Mashariki.


 Barabara ya Ocean sasa imebadilishwa jina na kuitwa Obama Drive...Hapa kikwete Akikagua