Sunday, June 30, 2013

IFAHAMU HELKOPTA ATAKAYOTUMIA RAIS OBAMA ATAKAPOKUJA KESHO TANZANIA


             Hii ni helcopter ya Obama,inafahamika kama MARINE ONE
                                          Hii ni moja ya helcopter za kijeshi zinazokuwa nyuma  ya MARINE ONE alimo Obama
MARINE ONE(iliyojitenga karibu na miti)ikiwa imezungukwa
 na baadhi ya helcopter za kijeshi,hapo
zikiwa zimetuwa mjini Pretoria Africa kusini
                                                                        MARINE ONE ikiwa angani nchini Africa kusin