Monday, July 1, 2013

ONA MAAJABU BARABARA ZIKIPIGWA DEKI LEO HII KUTOKANA NA UJIO WA OBAMA


Serikali imesema kupigwa deki kwa barabara ya Morogoro hadi Ubungo Tanesco kutokea mjini hakuna uhusiano na Ujio wa Barack Obama!!

Wewe je unaonaje hili?