Tuesday, July 2, 2013

MTOTO WA MIAKA MINNE ATUPWA AKIWA HAI MAENEO YA BAMAGA


Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV...


Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo 


 Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwa.