Wednesday, July 31, 2013

MBUNGE HALIMA JAMES MDEE AFUNGUKA KUHUSU ISHU YA MADAWA YA KULEVYA.SOMA HAPA ALICHOKISEMA






Mbunge wa Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameonekana kuzidi kufedheheshwa na uingizwaji wa madawa ya kulevya na biashara hiyo kuzidi kushamili nchini kwa kasi sana....

Aidha hivi karibuni binafsi wenyewe tumeweza kusikia na kushuudia watanzania wakikamatwa ughaibuni na hata wengine kufa kutokana na kumeza kete hizo na wengine kufungwa....

Hali hii naona ndio inayomchosha na kumuumiza Mbunge Halima Mdee na hizi ndizo

Tweets zake kupitia mtandao wake wa Tweeter alizotupia kufunguka Live kuhusiana na Madawa hayo na kukemea vikali...