Wednesday, July 10, 2013

MAAJABU:MWANAMKE AJIFUNGUA MTOTO MWENYE SURA YA NYANI


Mwanamke mmoja kutoka nchini Nigeria ambae jina lake (limehifadhiwa) alijikuta akipigwa na butwaa baada kujifungua mtoto wa ajabu siku ya jumatatu ktk hospitali ya Kagarko huko kusini mwa Nigeria.

Ripoti zinadai kuwa mwanamke huyo ambae ni mkazi wa kijiji cha SabonIceh,amejifungua mtoto ambae sura yake inafanana na nyani huku masikio na miguu yake vikiwa vya kawaida kama vya binadamu.

Mmoja wa wauguzi ambaye alikuwa zamu akimuhudumia mwanamke huyo alisema kuwa,"mwanamke huyo mjamzito alifikishwa hospitali hapo mida ya saa 07:30,siku ya Jumatatu.Na baada ya kufikishwa hospitalini hapo Ndipo mara moja mama huyo alipo pelekwa moja kwa moja labour".

“The woman came in through the out-patient department (OPD) after seeing the doctor on call and I decided to rupture her because the cervix was fully dilated. After I ruptured her, fluid measuring about 26 litres gushed out after which she started bleeding. All this time, the baby was still in the womb.”

“When the bleeding persisted, I sent for the medical director and when she came, we went into the theatre to operate on the woman. In the process, the baby started coming out with the legs. So, the medical director asked me to stop and allow her to deliver the baby by herself. Speaking further, the nurse said, “She delivered the baby breech and when it came out, we discovered that it was an abnormal baby. It was half human and half animal. We lost the baby shortly after delivery.

The nurse who spoke on condition of anonymity said the baby weighed four kilograms adding that the mother of the baby is currently receiving treatment at the hospital.

“She lost a lot of blood so we have to give her blood,” she said.