Alhamisi ya Nov 20 Diamond Platnumz ameibariki siku hii kwa kuachia video na audio ya wimbo wake mpya unaoitwa Nitampata wapi,kwenye radio station,tv na kwenye mitandao.
Video hii ambayo kwa mara ya kwanza ilianza kuonyeshwa Nov 19 kupitia kituo cha MTV BASE,kama hukufanikiwa kuiona unaweza kuiona kwa kubonyeza play hapo chioni.